Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani hatua ya Serikali dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Dkt. Josephat Gwajima, akisema ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa imani na haki ya kuabudu.
Katika taarifa yake kwa umma...
Ungekuwa sio utendaji kazi nzuri wa mama yetu basi nchi mzima ingeamka kuanzia hapo ubungo kuelekea kokote kudai haki ,bahati iliyoje ni kwamba ccm inatekeleza ilani kwa kiwango Cha bulldozer ,kwa hiyo malalamiko yoyote ya mtu au kikundi itahesabika kuwa ni uhaini na kurudisha nyuma juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.