waumini gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwabukusi alaani unyanyasaji waumini kanisa la Gwajima

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani hatua ya Serikali dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Dkt. Josephat Gwajima, akisema ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa imani na haki ya kuabudu. Katika taarifa yake kwa umma...
  2. JamiiForums Tanzania Waumini wa josephat gwajima Kuna moto na vuguvugu wanajaribu kulianzisha ila nchi hii kila mtu ameridhika na chochote kwa kuwa mama yetu ni mchapakazi

    Ungekuwa sio utendaji kazi nzuri wa mama yetu basi nchi mzima ingeamka kuanzia hapo ubungo kuelekea kokote kudai haki ,bahati iliyoje ni kwamba ccm inatekeleza ilani kwa kiwango Cha bulldozer ,kwa hiyo malalamiko yoyote ya mtu au kikundi itahesabika kuwa ni uhaini na kurudisha nyuma juhudi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…