waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  2. Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati. Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
  3. Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  4. Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  5. Pre GE2025 Njia zinazotumiwa na chama tawala kuwahadaa wananchi na waumini wa demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia: 1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
  6. Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  7. Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  8. Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  9. Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  10. Wahubiri na waumini kuna jambo la kujifunza hapa

    Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
  11. Namna Wachungaji waovu wanavyoiharibu amani ya Waumini Duniani

    Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
  12. Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

    Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅ Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox! Ethiopia...
  13. Siku hizi waumini tunapenda mahubiri ya kumiliki vitu vya dunia

    🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa; ✓Acha umalaya ni dhambi. ✓ Acha kudanga ni dhambi. ✓ Acha wizi ni dhambi. ✓ Acha uchawi ni dhambi. ✓ Acha kutoa mimba ni dhambi. ✓ Acha pombe ni dhambi. ✓ Acha rushwa ni dhambi. ✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi. ✓ Acha kubaka watoto...
  14. Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  15. J

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
  16. Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

    Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa? Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi...
  17. Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie: Gari nilizotoa kwa Waumini zinafika karibu 200, hizo sitangazi popote unamwambia tu aende kwa fulani akachukue

    Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie ameweka wazi kuwa ametoa magari takriban 200 kwa waumini wake kama sehemu ya kuwasaidia kiuchumi na kiimani. Akizungumza katika mahojiano na Salim Kikeke, alisema kuwa magari hayo hayahitaji matangazo yoyote ya wazi, bali waumini wanaohitaji huambiwa wapi waende...
  18. Rais Samia: Viongozi wa dini niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini

    Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  19. P

    Unakabiliana vipi na waumini wanaolazimisha salamu za kiimani bila kujuwa imani ya mtu mwingine

    Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake. Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero. Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
  20. Hivi, Mafuta wanayokunywa Waumini katika baadhi ya 'Nyumba za Ibada' ni salama kwa Afya?

    Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…