Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,
Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya...