Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni eneo la rashi.
akizungumza mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Moyo akiwa ameambatana na kamati...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameuagiza Uongozi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kuwaandikia notisi ya kuwatoa kwenye vitalu wawekezaji waliokiuka masharti ya Mkataba wa kukodisha mashamba katika Ranchi ya Usangu.
Mnyeti ametoa maelekezo hayo Machi 7, 2025 Wilayani Mbeya...
WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze
https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4
Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya Nishati India ( IEW India Energy Week) naibu waziri mkuu aliye waziri wa nishati mheshimiwa Dr. Doto...
13 February 2025
Unguja Zanzibar,
Tanzania
Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi...
Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.
OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman.
Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa.
============
CEO...
Habari za jioni jamii forum
Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha chini.
Lakini je,tuna elimu ya kutosha Kwa tuyafanyayo,au tunayoyaanzisha?
Au ni tamaa na kuiga tu...
Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko...
Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
Tanzania ni nchi ambayo mtu analeta mashite za kubeti anaitwa mwekezaji wakati kazi yake ni kwenda vijijini kuchukuwa pesa ! Kuna wachina wanamachine za ku bet wanaitwa wawekezaji
https://youtu.be/fzFNcqqzYrw?si=ac9WcSSGnSjgmLCM
Hello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
Liquid fund
Bond fund
Wekeza Maisha
Jikimu Na
Watoto fund
NA THABIT MADAI, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba, Serikali itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji pamoja na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha za...
Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
Katika Mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao ulizinduliwa Septemba, 2023
Mfumo huo umeunganishwa na mifumo ya Taasisi saba (7) ambazo ni Mamlaka ya...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika.
Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi.
Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa...
Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.
Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza kufatilia uanzishwaji wa small recycling industry pamoja na production kwa baadhi ya bidhaa,.Nahitaji mdau...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji mbalimbali wa katika ya Mawasiliano walioonesha nia ya kuwekeza nchini.
Amesema hayo tarehe 06...
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD).
Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa?
Nini maoni yenu? Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.