wawekezaji

  1. Uda

    Ni wakati wa kuondoa viongozi waovu wanaofadhiliwa na wawekezaji kugombea ubunge

    Hii ni fursa rasmi kwa CCM na Serikali ya CCM chini ya Mheshimiwa John Pombe Magufuli kuwafutilia mbali viongozi wote waliotumia fedha za wawekezaji kujipatia madaraka. Wapo baadhi ya viongozi tena wengi wao walijipatia fedha kutoka ugjaibuni na kujiunga na upinzani na walifanikiwa sana...
  2. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  3. Janja PORI

    Kwako Mkurugenzi mpya, BRELA mnafukuza wawekezaji

    Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza. Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
  4. YEHODAYA

    Jinsi ya Serikali kuondoa lawama na kutuhumiana kuwa wawekezaji toka nje wanatuibia

    Mara nyingi kumekuwa na msemo kuwa wawekezaji wa nje wezi wanatuibia waafrika .Hatufaidiki na uwepo wao au tunafaidika kidogo wao ndio wanapata Sana kwenye mikataba ya madini,mafuta ,gesi nk Tatizo kwenye hili ufumbuzi tunao sisi wenyewe waafrika.Nitatoa mfano makampuni yanayochimba...
  5. Patriot

    Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

    Nimeweka list ya viwanda ninavyoweza kumbuka, ambavyo ilikuwa ni mkombozi wa ajira kwa TZ. Vingi viliajili zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ambayo sikuyaweka. Lakini hii ilikuwa enzi ya Mwalimu. Marais waliofuata walifanya nini? ni halali leo hii vijana kukosa ajira...
  6. Victor Mlaki

    Urasimu unavyokimbiza wawekezaji nchini

    Maendeleo ni zaidi ya kutegemea katika kufanya mambo yako peke yako. Dunia ya leo inaelekeza kwenye social capital kuliko ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita. Taifa haliwezi kuendelea likiwa huku likisukuma wawekezaji badala ya kuweka mazingira mazuri ya kufanya kazi kwa pamoja "mutual...
  7. M

    Kwanini ni vigumu kwa Tanzania kupata wawekezaji wapya katika mazingira ya sasa

    ..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions. South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya...
  8. J

    Bagamoyo Port: Serikali imewapa hisa zote wawekezaji wa Kichina

    Makubaliano ilikuwa ni serikali kufidia wote waliopoteza ardhi ili kupisha mradi. Kwa kugharimia zoezi hilo Tanzania tungepatiwa kiasi fulani cha hisa ktk Bandari hiyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki. Sasa serikali imeshindwa kufanya hivyo na kupelekea kuukabidhi mradi mzima...
Back
Top Bottom