Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwazwa kutokana na maamuzi ya taasisi za Serikali kuandika barua na kuzipeleka wizarani ili kuweza kushughulikiwa.
Ameyasema hayo leo mara baada ya kutembelea Kituo cha...
Habari wadau..!
Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..?
Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri.
Viwanda...
Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo inayoyatafuta.
Hii ndio kazi ya kwanza muhimu kwa viongozi wetu.
Hatutegemei wawe watu wa kuzunguka...
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote.
Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii...
Mama yetu gesi asilia kwa jina jingine inaitwa METHANE (CH4), kama unavyoiona hapo in kaboni moja. Gesi hii inamatumizi mengi kama vile KUPIKIA, KUWASHIA, KUZALISHIA UMEME, KAMA NISHATI VIWANDANI
LAKINI PIA GESI HII INATUMIKA KUZALISHA KEMIKALI MBALIMBALI ZENYE THAMANI KUBWA KULIKO GESI...
Rais Samia ametujuza hivyo leo.
...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali.
...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita!
Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini.
1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu.
2. Manyanyaso ya wananchi...
Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa.
Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu ninatembea na vitabu viwili vikubwa yaani Biblia na Ujamaa.
Kitabu cha "Ujamaa" cha mwaka 1968...
Wakati wa awamu ya Mzee Mwinyi tukitoka kwenye mfumo wa dola kama ndio engine ya uchumi tulifungua milango na madirisha kwa wawekezaji. Waliingia wababaishaji na matapeli wa kila aina wakijifanya wawekezaji na kusababisha uharibifu wa uchumi wetu. Mzee Mwinyi kwa uungwana wake alikiri makosa...
Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtu aliyejipambanua kwa nia ya dhati akihimiza kwa vitendo juu ya miradi ya kimkakati. HAKUNA...
Andiko hili nimeliona kwenye forums kadhaa, walau Wakili Msomi amekiri kwamba mfumo sasa upo stable.
Kuhusu suala linalolalamikiwa, kwanza nikiri kwamba hoja zake Ni za ukweli na changamoto hii nilishaiona since day one.
Mara kadhaa tumeeleza kuwa kuna kazi tunaendelea nayo ya system...
Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka!
Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara.
Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
Hello bosses.
Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au SOFTWARE DEVELOPERS. Iwe unaangalia TV, una-surf mtandaoni, unacheza game au unafanya kitu chochote...
Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza
Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
Hello bosses,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata hawakutegemea(kama vile ulinzi, vibarua, etc....)
Ni muda sasa wagombea wetu mje na sera za kutatua tatizo la...
Kuanzia Azam Dhidi ya Azania, Mwana FA & AY Dhidi ya MIC Tanzania (Tigo), FIESTA Dhidi ya Wasafi Festival, Simba Dhidi ya Yanga, Adidas Dhidi ya Nike, Facebook Dhidi ya Snapchat, Pepsi Dhidi ya Cocacola, Uber Dhidi ya Lyft mpaka wewe dhidi ya mpinzani wako... biashara ni vita. Kinachopiganiwa...
Serikali imewataka Wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake kupendelea bidhaa ambazo wanazizalisha wao kama wao, na mafanikio yametokana na juhudi za watanzania wote wakiongozwa na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.