Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji
Chanzo: ITV Tanzania/ facebook
--------
Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu ya wananchi wa Lugalawa, wilayani Ludewa mkoani hapa, kuhusu upatikanaji wa umeme na mbolea kwa...
Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu
Sanasana watu wakilalamika wataambiwa nyie hamjui kutumia simu zenu kuna APPS zinakula data, mara Tanzania ni ya sita afrika kwa kuwa...
Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi!
Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi kabisa. Tanzania hatukuwa na vikwazo vyovyote vya kiuchumi bali tulikuwa na vikwazo vya kisheria kutokana...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi wa idara, mashirika na taasisi mbalimbali za Serikali kuwazungusha wawekezaji wanaofika nchini kutaka...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja.
Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
Wawekezaji waheshimiwe !
Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana.
Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya...
Wakuu
Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini.
Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu.
“Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
KUSAINIWA MKATABA WA EPA,KUWABEZA WAWEKEZAJI WA NDANI.
Nimeona ACT wakitoa hofu yao kama ile ya Hayati Mkapa ya kuhofia bidhaa nyingi nchini hivyo kutowalinda wawekezaji wa ndani.
1. Tujiulize faida za kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini yaani import goods nyingi nazo ni zipi?
2. Kwanini...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini.
Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba...
Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata hasara ya shs Bilioni 8 huku akiwa ame ajiri wafanyakazi zaidi ya 1000.
Wahusika TRA na Kituo cha...
Soma post vizuri kabla hujajijbu hoja, kama mtu anayejua anachoema. Kila nchi inahitaji wawekezaji, lakini lazima tuwe waangalifu na kutunza uhuru wetu kama post inavyosema, tusipokuwa makini watarudi kama wawekezaji. Angalia Zambia na Kenya na hatihati za kupoteza haki za baadhi ya miundo...
Rais wa zamani wa Zaire (sasa Congo) Mobutu Seseseko alisafiri kwenda Ulaya, Marekani na Asia zaidi ya mara 890 kwa muda wote aliokaa madarakani kwa miaka 32, lakini hiyo haikuwafanya wawekezaji wavutiwe kuwekeza Congo.
Si tu kwamba alisafiri na kila aina ya mbwembwe bali alikutana nao na...
Rais Samia aliongea kwa ukali pale bandarini siku ya tarehe 4 mwezi huu wa Desemba. Sina uhakika kama wasaidizi wake walimtegemea kumsikia akiongea kwa kujiamini kiasi kile. Ni kama vile Rais ameanza kutanua makucha yake. Ule muda wa honeymoon ya miezi ya kutambuana kati yake na wasaidizi wake...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu"
Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
Niliposikia/niliposoma maneno hayo, tena toka kwa kiongozi wa nchi sikuamini kabisa nilichosikia au nilichokisoma!
Kiongozi kamwe hawezi kamwe kuwa na fikra za namna hii kuhusu suala hili.
Pengine labda tuseme alikuwa na maana ya wawekezaji, hasa wa ndani ya nchi, ikihusisha wananchi wenyewe...
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi
mbalimbali nchini Tanzania
Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof.
Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia
leo.
Prof. Manya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.