Ofisi mpya inahitaji vijana wawili, mmoja kwa ajili ya kusimamia duka la viatu (wakike) na mwingine ni kwa ajili ya mauzo ya insurance.
Ofisi ipo kinondoni vijana, Dar es salaam, mwombaji awe jirani na maeneo hayo awe na uwezo wa kuuza, kutumia computer kidogo na awe anajua tumia mitandao ya...