Hapo jana, katika eneo alipouliwa Generali Chirimwami, lililokuwa mikononi mwa SAMIRDC na MONUSCO, M23 iliwafukuza na kuwasogeza nyuma. Kundi la FDLR chini ya uongozi wa General OMEGA, na lenyewe lililokuwa chini ya mlima Nyiragongo, na lenyewe limezingilwa na kuachiwa tu njia ya kutokea...