The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Nasema hivo kwa sabau zifatazo:.
•CCM imekuwa madarakani tokea kaundwa kwake mwaka 1977 na kwa sababu hiyo kutokana na hurka za wanadamu kimeonesha kupoteza ushawishi kadri siku zinavoenda.
•CCM kukosa sera au kupungukiwa mawazo mbadala kutokana na mfumo wake ila kwa sasbubu CCM inamuundo...
PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE
Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo wanachama wa mwanzo wa TANU hao niliowataja hapo juu.
Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi...
Mimi mara ya kwanza nilikua mpingaji mkubwa wa tozo ya jengo, nilipinga sana nikwa najiuliza kwanini tulipie kodi ya jengo hata ambao tumepanga.
Lakini baada ya kujifikiria kwa kina nimeona huu ni upuuzi watanzania tumezoea kulalamika hovyo.
Nimebadilika ninaunga mkono.
Just imagine wabongo...
Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:-
Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content)
Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake.
Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo.
Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza.
Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo...
Habari wadau!
Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba.
Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama angekuwa hai hasingeafiki swala hili ingewataka wale waliotenga pesa za sanamu wazielekeze kwenye...
WALIFIKAJE TAREHE 7 JULAI 1954 NA KUUNDA TANU NA TUNAWAADHIMISHAJE WAZALENDO HAWA?
Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street.
Baada ya kupatikana uhuru mtaa huu ukabadilishwa jina ukaitwa Aggrey Street kisha baadae wakati marehemu Kitwana Kondo alipokuwa Meya...
Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao.
Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, N/Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, N/Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
P. Gekuli, N/Waziri
Shonza, MB
Katambi, N/Waziri
LijuaLikali, DC
Kitila Mkumbo /Waziri
Nadhani ni sahihi...
Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni.
Kwa...
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC
Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi:
"Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!"
"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"
"Kila unaponunua kitu...
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
•Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.
•Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.