The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana.
MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza majina ya wagombea kupitia vyama vyao.
Nawashauri ACT Wazalendo waitishe press chap watutaarifa jina...
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama...
Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na...
Huo ni "UONGO" wa wazi...
Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo...
Mkutano Mkuu @ACTwazalendo
⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa
⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama
⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama
⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia
TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
Tusali ndugu zangu. Kama kuna sehemu tumemkosea Mungu/ Allah atusamehe. Sio kwa ubaya ndugu zangu na nisieleweke vibaya.
Tuombe hofu ya Mungu itawale kwa watu wote, upendo, uwajibikaji. Muhimu hofu ya mungu itawale. Utawala bora uwe huru na haki kwetu sote.
Ndugu zangu tusali kwa imani zetu...
Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Duni maarufu kama ' Bob...
Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana.
Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza ajira na kukuza uchumi kwa watu wetu.
Asia na Ulaya walishaanza mbinu hizo muda mrefu kwani...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo 09 Oktoba, 2021
Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM, Mbarouk Amour...
KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI
Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote.
Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.