The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji
Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo.
Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika.
Lakini tabu...
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI
Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.
Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad.
Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana.
Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.
Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.
Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu.
Harakati za kisiasa bila common sense.
Ona wenzetu.
👇
Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town.
IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine said its troops have marched farther east into territory recently abandoned by Russia, paving the way...
Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea.....
Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote.
Vijana wa Kiafrika mna...
Salaam Wakuu,
Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar.
Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
Kiukweli inasikitisha sana kuwa, moja ya mambo yanayo rudisha nyuma maendeleo ya miradi na maendeleo kwa ujumla ni sheria ya manunuzi ya umma.
Nadhani wengi wetu tumeona waraka kupitia whatsap grup na sociali media nyingine juu ya kurekebisha kanuni za manunuzi ya umma.
Kwakuwa hii ndio fursa...
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.
Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
Kazi iendelee.
😂😂😂😂😁😁😁😁 Hii ni tafsiri ya mtoto wa form one mwaka 2022 huko shule NAMTUMBO
SAMIALOGY ni sera/tawi la sayansi ya uongozi linalojikita zaidi na utoaji wa haki, huduma bora,maridhiano, utawala wa sheria, uwazi na uwajibikaji,ucha Mungu, uzalendo wa kweli na utoaji wa huduma safi...
Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika
Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.