The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Chanzo: ITV habari
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana....
R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee...
Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles
The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
Kwa sasa mpira ni Biashara kubwa sana Duniani, mpira umekuwa ukichangia kukua kwa Uchumi kwa kutoa ajira, kukuza mitaji na kukuza biashara.
Timu za Simba na Yanga ziko kwenye ushiriki wa ligi za CAF, na hivi karibuni walicheza michezo yao ya kwanza ugenini, hata hivyo hawakufanikiwa kuanza...
Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli).
Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia
Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi
Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha
Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru
Walipiga watu waliokuwa...
Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam.
Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
MAGUFULI ni Kwame NKURUMA au ni Fidel Castro wa karne ya 21, KIU yake kubwa ilikuwa kuona mabadiliko ndani ya Bara la Africa na mioyo ya waAfrica. Alidhamiria kuondoa mabaki ya utumwa kichwachi kwa Watanzania na Bara la Africa kwa ujumla, Mara ZOte aliyasema maneno nakutekeleza kwa vitendo koti...
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF.
Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi.
Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema.
Leo viongozi wetu wako bize...
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake.
Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
Nasikia huko Zanzibar kimeumana!
Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi.
Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa.
Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.
Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake.
=========
Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma?
Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma?
Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma.
Miaka 30...
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya.
ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma
Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.