The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI .
Hata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya
Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa...
Wanabodi
Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3...
Wanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti...
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.
Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu...
Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with...
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu.
Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa marehemu).
Hawa wanaume sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia mechanisms zipi maana vitabu vyao...
Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA.
Utangulizi
Kwa muda wa miezi miwili Chama cha ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Maji imekuwa ikipokea changamoto juu ya hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa Mkoa wa...
Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk
Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi
Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti...
Mzalendo ni mtu ambaye anaitakia mema nchi yake na yuko tayari kuitetea kwa vyovyote hata kama ikimgharimu mateso, kutengwa, kudhihakiwa, kutukanwa, kufungwa au kuuawa kwa kufanya hivyo.
Ifuatayo ni orodha ya wazalendo wetu wa Kitanzania kwa sasa;
1. Wakili Msomi Mwabukusi
2. Wakili Msomi...
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:
1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi.
Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
Tanzania imejaa na viongozi wafuatao....
1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine.
2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani.
3. Viongozi ambao wana...
Friends and Our Enemies,
This is the last kick of the dying horse,
Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa.
Wameona kuwa hila zao, uongo wao na lugha zao chafu baada ya kukataliwa na wananchi wameona sasa waanze choko choko na...
Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao...
MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI
NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha habari. Business Times Ltd (BTL).
Newsroom yenye hadhi. Nilivutiwa na chumba kikubwa cha wachoraji. Kizuri sana, kiliundwa kwa vioo. Kila kijana mwenye kipaji cha kuchora, alipaona...
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
Habari zenu wana JF wenzangu
Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama mzalendo namba mbili baada ya hayati mwl Nyerere.
Ninapozungumzia wazalendo namaanisha mtu au wale watu...
Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine.
Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.