wazanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    ''Bara Mtateseka Sana Kwa Sababu Hamtaki Kutujua Wazanzibari''

    "BARA MTATESEKA SANA KWA SABABU HAMTAKI KUTUJUA WAZANZIBARI" Ilikuwa wiki ya pili tu baada ya uchaguzi wa Rais Zanzibar baina ya Maalim Seif na Dr. Ali Mohamed Shein. Mwaka ni 2010. Kumbukumbu ya "siege," yaani kupigwa tepe Bwawani Hotel palipokuwa panatolewa matokeo ya uchaguzi na ZEC kila...
  2. aleesha

    Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  3. sky soldier

    Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  4. Kijakazi

    Wazanzibari wengi (weusi) ni descendants wa Slavery

    Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua...
  5. S

    Je, Wazanzibari wanadai Uhuru?

    Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani ndio usije ukabishana nao wanaweza kukutoa roho. Huwa najiuliza wanataka mamlaka kamili kutoka...
  6. Linguistic

    Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar. Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.. Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa Kichwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Leak

    Rais Samia tunaomba uwambie kweli ZESCO na Wazanzibari hakuna Umeme wa bure wagharamikie kama TANESCO na wabara.

    Baada ya Mh Rais kusema wazi kuwa wananchi waambiwe kuwa gharama za umeme sio 27,000 tena kama alivyotangaza Rais mwaka jana. Hivi gaharama za kuunganishiwa Umeme zanzibar zikoje? ZESCO imekuwa ikidaiwa madeni mengi sana ya Umeme na Tanesco na wamekuwa wakitegemea kusamehewa na wakisha...
  8. Naanto Mushi

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania. Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'. Yaani ni...
  9. K

    Yanga Wahamasisha Wazanzibari 'Watembelee' Zanzibari

    Bila Kujari Matokeo...! Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...! Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi Ya Kuwa Uzi wenye Mkataba Mfupi sana Kuwahi kutokea Duniani. Mkataba ulidumu Kwa muda Wa Siku 7 tu...
  10. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  11. sky soldier

    Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  12. sky soldier

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini. Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa...
  13. M

    Wazanzibari wamebobea kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Wabara mhh!!!

    Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana. Sasa nije kwenye mada yangu. Sisi Wazanzibari tupo vizuri sana tena sana katika lugha zetu mbili...
  14. Tony254

    Asanteni Wazanzibari kwa kuleta biashara Lamu port

    Undugu ni kufaana. Asanteni ndugu zetu Wazanzibari kwa kuleta biashara nzuri Lamu port. Wiki iliyopita Lamu port ilipokea containers 364 kutoka Ulaya zilizokuwa zinaelekea Zanzibar. Hii inaitwa transhipment business. Tunashukuru sana kwa biashara nzuri kati yetu. Sisi nasi tutaendelea kununua...
  15. Leak

    Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  16. S

    Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10% Kusema kweli ni aibu...
  17. safuher

    Sio kweli kwamba Wazanzibari hawana makabila

    Suala la kwamba wazanzibari hawana makabila sio sahihi kabisa,wanayo makabila. Huu uzi siandikii ati kwa kuwa makabila yataleta manufaa yoyote kwa wazenji ama madhara yoyote,bali naandika kusahihisha ufahamu tu. Kwanza Kabila ni jamii ya watu yenye umoja fulani upande wa lugha na tamaduni, si...
  18. LaRosa

    Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto. Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...
  19. Elisha Sarikiel

    Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

    Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa...
  20. Red Giant

    Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

    Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index). Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1. Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni...
Back
Top Bottom