Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Habari za Wakati huu;
Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo
Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitila mkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote!
Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia!
Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano.
Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe.
Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa.
Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na...
Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa...
Hadi hivi sasa huko Razaba, kuna watu wanaendesha shughuri zao za kila siku, na hii ni kwa sababu, hapakuwa na kufahamu iwapo eneo hilo linamilikiwa na Wazanzibari
Unajiuliza, watu hao sasa wahamie wapi
Kwamba nchi iliyo na watu milioni 59+ igawe aridhi yake kwa nchi yenye watu milioni 1+...
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.
Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
Mapambano ya kupigania Uhuru wa Zanzibar yalisababisha Zanzibar kufuata mikondo ya siasa za kikabila ambayo ni ngoma iliyopigwa na kuimbwa vyema na wakoloni wa Kiingereza na kuwahemua Wazee wetu hadi wakaifahamu barabara kuicheza na kuiimba. Wenye asili ya Kiarabu waliunga mkono zaidi chama cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
A)...
WAZANZIBARI NA IMANI YAO KWA ALLAH
Rais Hussein Mwinyi kafungua msikiti uliopewa jina lake.
Jina la msikiti huo litabaki siku zote kuwa Masjid Hussein jina la mjukuu wa Mtume SAW.
Rais Mwinyi akaombewa dua na Waislam na yeye akashukuru kwa hilo.
Hawa ndiyo Wazanzibari walioutanguliza mbele...
Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara.
- Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.