Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.

Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.

Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari. Ndivyo Mungu aliwaumba.

Huo kutoka Zanzibar tuonaooneshwa ndicho kilicho moyoni mwao. Hawana zaidi cha kuonesha..

Tunalilia Watoto wetu Watanganyika Wanaotekwa, kupotea na waliouawa 29 Oktoba 2025.
IMG-20260322-WA0008.jpg
 
Mkuu 'figga', mada yako hii umechanganya mambo mengi na yasiyohusiana.

Samia hana upendo wowote na yeyote. Hata huko Zanzibar siamini kuwa anao upendo nao

Pili, pamoja na kuwepo baadhi ya waZanzibar wenye chuki na waTanganyika, mara zote siyo sahihi kabisa kujumuisha watu wote namna ilivyoonyeshwa hapa. Dr. Mkemia; kwa mfano, ni mTanzania kwelikweli, ukitaka mfano.

Kuna wazanzibar ambao ni waTanzania kwelikweli; na hata baadhi ya hao unaoona kuwa wao ni wazanzibar zaidi, hilo linatokana na uongozi unaochochea hali hiyo. Walaumu viongozi na siyo wananchi.

Mwisho:
Huu uigizaji mbele ya makamera unatakiwa kuachwa. Waache waumini na Mungu wao huko huko wanakomcha. Haya mambo ya kuleta makampeni ya huko kwenye nyumba za ibadia imekuwa ni sehemu ya ubovu wa siasa na jamii kwa ujumla.
Matatizo yetu mengi sasa hivi yanatokana na maigizo ya namna hii

Hao waliojipanga hapo mstari wa mbele si ajabu kesho watadai kuwa sehemu ya siasa. Hao hao ndio watatuletea matatizo.
 
Salaam Wakuu,

Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.

Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.

Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari. Ndivyo Mungu aliwaumba.

Huo kutoka Zanzibar tuonaooneshwa ndicho kilicho moyoni mwao. Hawana zaidi cha kuonesha..

Tunalilia Watoto wetu Watanganyika Wanaotekwa, kupotea na waliouawa 29 Oktoba 2025.
View attachment 3561409
Imeandika utumbo
 
View: https://www.facebook.com/share/v/18RTugxtYB/
 
Sasa mimi wapi nimesema ana upendo? Wana roho mbaya... Hawatupendi. Na kielelezo ni Samia
Kama ninayo tofauti nawe ni hiyo ya kujumuisha kila mtu "hawatupendi" Hili hata siku moja sikubaliani nalo..

Wazanzibar "wote" hawawezi kuwa na roiho ovu kama aliyonayo Samia; hili kamwe haliwezekani.
 
Kama ninayo tofauti nawe ni hiyo ya kujumuisha kila mtu "hawatupendi" Hili hata siku moja sikubaliani nalo..

Wazanzibar "wote" hawawezi kuwa na roiho ovu kama aliyonayo Samia; hili kamwe haliwezekani.
Upo sahihi... Kuwa na tofauti na mawazo ndo ubinadamu wenyewe. Mimi ndivyo nawaona na wewe ndivyo unawaona.. Wote tupo sahihi kwa mitazamo yetu.. Sitaki uwe mimi nawe usilazimishe niwe wewe.
 
Hata Mungu anatuadhibu sisi kwa Makosa ya Adam na Eva. Hata mimi nawachukia Zanzibari kwa Makosa ya Samia Suluhu Hassan. Katuua sana Watanganyika. Hata Vita ya Kagera ya mwaka mzima, haikuua watu kama samia alioua kwa Siku 4
 
Waliouawa Vita ya Kagera, ni wachache kuliko watu Samia Suluhu Hassan alioua 29 Oktoba 2025. Tutasauhu vipi? Au tutasemaje anapenda Watanganyika?
 
Upo sahihi... Kuwa na tofauti na mawazo ndo ubinadamu wenyewe. Mimi ndivyo nawaona na wewe ndivyo unawaona.. Wote tupo sahihi kwa mitazamo yetu.. Sitaki uwe mimi nawe usilazimishe niwe wewe.
Utanisamehe mkuu 'figga', kwani najuwa hili siyo swala gumu sana kuelewa na kuleta kutoafikiana kati yetu.

Sioni kitu cha kutufanya sote tuwe sahihi katika hili; hilo haliwezekani Jibu la aina hiyo ni sehemu ya udanganyifu tunaofanyiwa na hawa watu waovu.
Kwa mfano,; lugha ya AMANI na UPENDO; wao waseme sote tunakubaliana juu ya hilo; wakati hayo ya AMANI/UPENDO hayana uhalali wowote pasipokuwepo na HAKI miongoni mwa jamii.

Nimetumia mfano huu maksudi kabisa kwamba utasaidia kuona tofauti iliyopo ya "wazanzibar wote" kuwachukia waTanganyika kutokuwa sahihi kabisa

Sioni ni namna gani unaweza kumhusisha Dr Mohammed Shein, kuwa miongoni mwa wazanzibar "wote" wanaowachukia waTanganyika. Huo ni mfano mmoja tu kati ya wengi ambao husikii sauti zao..

Ninachokubaliana na wewe moja kwa moja, ni kwamba kuna kundi la wazanzibar wenye chuki kubwa sana na waTanganyika; na ni kundi hili ndilo limeshika madaraka haramu sasa hivi, na wafuasi wao wanazo kelele nyingi sana zinazotisha watu kiasi cha kuona ni wazanzibar wote wenye chuki dhidi ya waTanganyika.

Ningekubaliana na maudhui ya mada yao kama ungeghusia tofauti hiyo.

Samia Suluhu kamwe hawezi kuwa mwakilishi wa wazanzibar wote, huyu ni miongoni mwa watu duni sana tokea eneo hilo.
 
Hata Mungu anatuadhibu sisi kwa Makosa ya Adam na Eva. Hata mimi nawachukia Zanzibari kwa Makosa ya Samia Suluhu Hassan. Katuua sana Watanganyika. Hata Vita ya Kagera ya mwaka mzima, haikuua watu kama samia alioua kwa Siku 4
Unayohaki kabisa ya kumchukia Samia na Genge lake lote kama ninavyowachukia mimi; na siyo lazima iwe kwa uzanzibar wake.

Tunao washiriki wake hapa hapa Tanganyika; akina Stephen Wasira, akina Kibudu Kalamaganda. kimna Camillius Wambura; kina huyo jenerali wa jeshi; akina Kikwete Jakaya na wengi wengine ambao walishiriki na kusababisha vifo vya ndugu zetu.
Hawa siwezi kuwapenda kwa sababu tu ya uTanganyika wao na kuwachukia wazanzibar ambao hawana uhusika wowote katika jambo kama hilo.
 
Hawa siwezi kuwapenda kwa sababu tu ya uTanganyika wao na kuwachukia wazanzibar ambao hawana uhusika wowote katika jambo kama hilo.
Hapa umeniacha. Mimi sijawachukia sababu ya Zanzibar wao bali sababu ni damu moja na Samia..
 
Hapa umeniacha. Mimi sijawachukia sababu ya Zanzibar wao bali sababu ni damu moja na Samia..
EEEEeeenHEEEEEee!

Sijacheka hivi siku nyingi; 'actually' tokea mwaka huu uanze!

Kwa hili inanibidi nikubali; kwamba uovu wa Samia unalazimisha watu wauone kwa jicho la anakotokea yeye zaidi kuliko kwa nafsi yake mwenyewe.

Hasira za aina hii zinapopungua; binaadam yeyote huona ukweli kwamba Samia siyo wazanzibar wote.

Tunao wabovu kama alivyo yeye hapahapa Tanganyika.
Najuwa hutasema kuwa Kikwete ni sampuli inayowasilisha waTanganyika wote. Ukimchukia Kikwete kwa uovu wake; haina maana umewachukia waTanganyika wote.

Kuwachukia wazanzibar wote hakutatusaidia waTanganyika kuleta mabadiliko toka kwa hawa waovu.

Tutawachukia waovu wote bila kujali wanatokea wapi.

Uovu wa Samia sasa hivi unalindwa na kuendelezwa na waTanganyika; tupambane na hao.
 
Huyu form 4 faulire inakuwaje atutawale watanganyika, tunakwama wapi wazee?!.
Tunakwama kwa waTanganyika wanaomsaidia kukaa madarakani kwa mabavu.
Adui wa Tanzania siyo Samia pekee, ni hao wote wanaomlinda abaki madarakani
 
Back
Top Bottom