EEEEeeenHEEEEEee!
Sijacheka hivi siku nyingi; 'actually' tokea mwaka huu uanze!
Kwa hili inanibidi nikubali; kwamba uovu wa Samia unalazimisha watu wauone kwa jicho la anakotokea yeye zaidi kuliko kwa nafsi yake mwenyewe.
Hasira za aina hii zinapopungua; binaadam yeyote huona ukweli kwamba Samia siyo wazanzibar wote.
Tunao wabovu kama alivyo yeye hapahapa Tanganyika.
Najuwa hutasema kuwa Kikwete ni sampuli inayowasilisha waTanganyika wote. Ukimchukia Kikwete kwa uovu wake; haina maana umewachukia waTanganyika wote.
Kuwachukia wazanzibar wote hakutatusaidia waTanganyika kuleta mabadiliko toka kwa hawa waovu.
Tutawachukia waovu wote bila kujali wanatokea wapi.
Uovu wa Samia sasa hivi unalindwa na kuendelezwa na waTanganyika; tupambane na hao.