Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa

2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani

3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.

4. Vijana wengi kutoka bara wameajiriwa katika mashamba wakifanya kazi za kilimo na ufugaji tena wakitunzwa sana. TEMBELEA KIBOJE, CHEJU, KISAKA SAKA

5. Akina dada wengi wafanyakazi wa ndani ni kutoka bara, na kasi ya kuingia Zanzibar kutafuta kazi za ndani imeengezeka-

6. Wamachinga wengi wanaotembeza sabuni, dawa za meno ni kutoka Bara. NENDA SOKO LA MWANAKWEREKWE

7. Hakuna mwanafunzi Mtanganyika aliewahi kutengwa au kufanyiwa figisu ktk vyuo vikuu kuhusu marks zake.

Hii tofauti na Tanzania Bara, Wazanzibari wakisoma vyuo vya tanganyika huwa na tahadhari sana kutoka kwa madokta na maprofessor. Mara utakuta marks zake hazionekani
 
3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.
Wewe mjinga udini utakuua bwege wewe, nyie mbona maspika yenu ya adhana yanakera watu lakini hatujawahi kulalamika, wacha ujinga.

downloadfile.jpg
 
Ulishawahi kuishi Zanzibar
Unajua maana ya neno MTWANA? ni nani na anatokea wapi kwa huko visiwani?
Unajua maana ya neno CHOGO? Ni nani na anatokea wapi kwa tafairi ya huko visiwani?
Waziri akiwa Zanzibar na Akitamka neno MZAWA anaaanisha nn haswa?
 
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa
2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa.
3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.
4. Vijana wengi kutoka bara wameajiriwa katika mashamba wakifanya kazi za kilimo na ufugaji tena wakitunzwa sana.
5. Akina dada wengi wafanyakazi wa ndani ni kutoka bara, na kasi ya kuingia Zanzibar kutafuta kazi za ndani imeengezeka
6. Wamachinga wengi wanaotembeza sabuni, dawa za meno ni kutoka Bara.
7. Hakuna mwanafunzi Mtanganyika aliewahi kutengwa au kufanyiwa figisu ktk vyuo vikuu kuhusu marks zake. Hii tofauti na Tanzania Bara, Wazanzibari wakisoma vyuo vya tanganyika huwa na tahadhari sana kutoka kwa madokta na maprofessor
Kuna mwislamu mwenzao kule Belfast UK kamchinja Binadamu mwenzake.
 
Huyu Malaria Sugu anatamani hata kuwapa sumu Wakristo wote ana chuki kubwa sana na Ukristo wakati hizi dini zote zimetokea huko mashariki ya kati wafuasi wanaishi kwa mapokeo hakuna mwenye uhakika hata uwepo wa Mungu, bora sisi tuliojikomboa na kufuata imani za asili yetu.
 
Ulishawahi kuishi Zanzibar
Unajua maana ya neno MTWANA? ni nani na anatokea wapi kwa huko visiwani?
Unajua maana ya neno CHOGO? Ni nani na anatokea wapi kwa tafairi ya huko visiwani?
Waziri akiwa Zanzibar na Akitamka neno MZAWA anaaanisha nn haswa?
Maana mtwana na chogo sawa na neno mtu kuitwa mpemba akiwa bara
 
Huyu Malaria Sugu anatamani hata kuwapa sumu Wakristo wote ana chuki kubwa sana na Ukristo wakati hizi dini zote zimetokea huko mashariki ya kati wafuasi wanaishi kwa mapokeo hakuna mwenye uhakika hata uwepo wa Mungu, bora sisi tuliojikomboa na kufuata imani za asili yetu.
Umuonee chuki mkiristo ananini? Anamiliki nini? Kama wewe kula yako ilu upate uwapigie propaganda chadema
 
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa

2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa.

3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.

4. Vijana wengi kutoka bara wameajiriwa katika mashamba wakifanya kazi za kilimo na ufugaji tena wakitunzwa sana.

5. Akina dada wengi wafanyakazi wa ndani ni kutoka bara, na kasi ya kuingia Zanzibar kutafuta kazi za ndani imeengezeka

6. Wamachinga wengi wanaotembeza sabuni, dawa za meno ni kutoka Bara.

7. Hakuna mwanafunzi Mtanganyika aliewahi kutengwa au kufanyiwa figisu ktk vyuo vikuu kuhusu marks zake.

Hii tofauti na Tanzania Bara, Wazanzibari wakisoma vyuo vya tanganyika huwa na tahadhari sana kutoka kwa madokta na maprofessor
Tatizo mabikira wao wote hawanamarinda.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom