Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
Usiongee vitu ambavyo hujui mzee, halafu mi sijawasema vibaya mi nimeongea ukweli. Sasa kama kuongea ukweli ndo kusema vibaya sawa.I lete hapa hio habari halafu uone. Unawasema vibaya wazenj halafu umekodi nyumba yake unatumia umeme bure, halafu unakuja humu kupiga propaganda
Mi kukodi nyumba yao unaona kama wamenifanyia wema! Sikai Bure mkuu, umeme unaosema natumia bure, ni unaongea tu kujifurahisha. Pesa ya umeme ninayotoa kwa mwezi nikisema hiyo niwawekee wazazi wangu kule walipo umeme huo utatumika miezi zaidi ya 10.
Ninachoona ni kwamba umeamua tu kuwatetea wazenji. Sasa nikusanue kitu, hutakuta hata siku moja mzenji akiwatetea wabara kwenye jambo lolote. We endelea kuwa mtumwa.