Ni ujinga wazanzibari 4% ya Watanzania kupiga kampeni za kibaguzi!!! kwa 96%

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ni ujinga wazanzibari 4% ya Watanzania kupiga kampeni za kibaguzi!!! kwa 96%.

Wabunge kutoka zanzibar wameanza kampeni za kibaguzi na kumuita huyu VP fake Yuda. Sasa hii inaweza kuleta fikra za kibaguzi kwa Watanzania pamoja na uvumilivu ubaguzi kwa watanganyika ni mkubwa sana kipindi hiki. Kibaya kitakuja kutokea pale uvumilivu utakapo isha na watanganyika kuanza kuwabagua wanzanzibari.
 
1780497589040.png
 
Back
Top Bottom