Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo maandamano.
Tukio moja la dhahiri ni lile la Kariakoo Dar, ambapo polisi wastaafu wawili waliwapigia simu polisi kuwataarifu kuwa wamewaona waandamanaji wanaelekea kwenye supermarket ya jirani yao, hivyo wanahofia waandamanaji wataivamia hiyo supermarket. Baada ya kutaarifiwa kuwa askari wanakuja, polisi hao wastaafu wawili na majirani wakajikusanya kuelekea iliko supermarket. Mara gari ya askari wa kutika Zanzibar, walioonekana kuwa asili ya kiarabu waliingia na kuwaamuru wale polisi wastaafu na majirani, wote walale kifudifudi, polisi wastaafu wakajitambulisha kuwa wao ni polisi wastaafu, wakajibiwa na hao askari wa kizanzibari, 'LALENI KIFUDIFUDI, KWANZA NINYI WATANGANYIKA MLIUA WAZANZIBARI MWAKA 2,000, SAFARI HII NI ZAMU YENU'. Wale polisi wastaafu wakalazwa kifudifudi mwisho na mwisho, katikati wakalazwa wananchi wa kawaida, wale wauaji toka Zanzibar wakamtwanga risasi polisi wa kwanza mstaafu, kisha mwingine, ubongo ukatapaa eneo zima. Kisha wakaanza kuwaua wananchi wengine, baadhi wakaamka na kukimbia, wengine walijeruhiwa wakikimbia, na wengine walinusurika bila ya majeraha. Waliouawa pale pale ilikuwa 10.
Lakini pia eneo la huko Tegeta, askari hao wazanzibari wanatajwa kupanda juu ghorofani kwenye nyumba moja ya karibu na barabara, kutokea kwenye veranda wakawa wanamlenga na kumpiga risasi yeyote anayepita barabarani. Na wengine walifikia hatua kuwagongea milango watu waliokuwa majumbani, ukiwafungulia wanakuua wewe na wote waliomo, mpaka watoto wadogo.
PICHA HALISI
Maandamano na uharibifu wa miundombinu ilitumika tu kama mwanya wa wazanzibari hawa kutekeleza mauaji yao ya chuki dhidi ya watanganyika.
Kama wazanzibari wana chuki za kiwango hiki dhidi ya Watanganyika, kisha kuwafanyia uharamia mkubwa kiasi hiki watanganyika, JWTZ linalotakiwa kuwalinda wananchi lilikuwa wapi hata kushindwa kuwalinda wananchi wake waliokuwa wakiuawa kiharamia na wazanzibari ambao wamejitangaza kuwa wao ni nchi inayojitegemea? Hawa wazanzibari, kitendo cha kuwaua watanganyika wengi kiasi hicho, wakaachwa kurudi salama kwao, kwa kweli kumelidhalilisha sana jeshi letu na kulifanya lionekana ni kikundi tu cha watu wasiojua hata jukumu lao la msingi. Lakini pia hata polisi wa Tanganyika, kubakia wametulia wakiangalia wauaji toka Zanzibar wakiwaua ndugu zao watanganyika, ni usaliti wa kiwango cha ajabu. Ndiyo maana Wazanzibari wanawaona Watanganyika ni watu duni kiakili, wengine huwaita Watanganyika ni KUBWA JINGA, maana katika hali ya kawaida haitarajiwi kwa mtu mwenye akili timamu, umwone jirani anaua mwanafamilia wako, wewe ukabakia tu ama unaangalia au hata kumsaidia huyo jirani kumwua ndugu yako.
Watanganyika wamesalitiwa kwa kiwango kikubwa na jeshi lao, polisi wao na TISS yao kwa kiwango cha kutisha.
Hakika mauaji yaliyofanywa Oct 29, ni ya kiwango cha kutisha mno. Fikiria mauaji ya jeshi la Id Amin wakati wa vita mwaka 1978-1979, yalisababisha vifo vya askari Watanzania 373, leo mauaji ya serikali ya Samia, dhidi ya Watanganyika yamesababisha vifo vya watanganyika zaidi ya 10,000!! Halafu kuna hayawani eti wanasema mambo yaishe, yaani aliyepora uchaguzi, anayeteka na kuua watanganyika, aendelee na nafasi aliyoipora, aendelee na kuteka na kupoteza watanganyika bila kuwajibika!! Hivi hawa wanaoyasema haya ni binadamu au mashetani katika maumbile ya wanadamu!!
Kamwe tusikubali damu za wanadamu wenzetu zipotee bure bila ya wahusika kuwajibika kwa uovu wao, hata kama itapita muda mrefu kiasi gani tusikubali kuzisaliti nafsi zetu kujisahaulisha na kuufanya uharamia huu mkubwa kama ni jambo la kawaida. Wauaji ni lazima wawajibike. Wazanzibari walioletwa Tanganyika kuja kuwaangamiza Watanganyika, aliyewaleta na aliyewapa maelekezo ya kuua, na aliyebariki uovu huu dhidi ya watanganyika, ni lazima wawajibike.
Kwa sasa, kwa mtanganyika yeyote iwe ni mwiko wenye laana kushirikiana na wauaji wote kwa namna yoyote ile.