Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua...