wazazi katika malezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake? Je kijana uyo atakuwa alelewa kujitegemea au kutegemea maisha yake yote??
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tukague watoto wetu mara kwa mara kila watokapo shule, kuna probability kubwa shule inaweza isi expose ujinga aliofanyiwa ili kulinda hadhi yao

    Haijalishi mtoto wako ni wa elementary school au shule za kawaida za serikali. Kaa na mtoto wako karibu, kuwa rafiki yake, ubize wa maisha usikunyime muda na mtoto, Muahidi na mpatie vitamu akiwa anakuambia jambo lolote linalomsibu huko shuleni. Mkague viungo vyake pande zote. Dunia imekuwa...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako aliwahi kukueleza nini maana ya maisha?

    Bila shaka, hapa kuna maelezo zaidi kuhusu maisha: Maisha ni nini? Maisha ni hali ya kuwa hai. Ni kipindi kati ya kuzaliwa na kufa kwa kiumbe. Maisha yanajumuisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na: Ukuaji: Viumbe huongezeka ukubwa na kuwa na uwezo zaidi kadiri wanavyokua. Kuzaa: Viumbe huzaa...
Back
Top Bottom