Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi.
Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wanahangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki.
Bora niwe wa mwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete...
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani inalenga kuangazia umuhimu wa kunyonyesha kwa afya na ustawi wa Watoto na manufaa kwa afya ya uzazi. Pia kukuza, kulinda, na kusaidia haki za Wanawake kunyonyesha popote na wakati wowote
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu inajikita katika 'kunyonyesha na kazi' ...
Hbr za siku,
Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno.
Hoja
Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu...
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu
Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza.
kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa.
Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Kuna watu wanafikiri Taikon ni mtu mwenye roho mbaya, bandidu, bedui nisiye na huruma wala upendo. Ati kwa sababu ninaongea ukweli na haki. Ndugu zangu nipo hapa kuzungumza uhalisia wa mambo. Sio kwamba najitoa kwenye haya ninayoyazungumza. Mimi pia ni sehemu ya...
Wakuu,
Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
Wazazi naomba tuongee kwa dakika 5 tu…
Sisi Tumechoka sana Tukija kuwatembelea makwenu Iwe kipindi cha matatizo Au matembezi ya kawaida, ila Naomba Niongelee sisi ambao tunaofikia makwenu Kuja kutafuta maisha…
Kuna hawa watoto wenu hasa wenye majina ya JUNIO aisee wanatuboa sanaa sanaa...
Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui.
Pia Soma:
Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000...
Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana.
Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu.
Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini.
Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani.
Amesema...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa)
Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe.
Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia.
Lakini mbinu aliyoitumia ni...
Habari zenu wakuu.. Hope mpo vizuri.
Bila kupoteza muda, Wiki 3 zilizopita nikiwa Mkoa X, nilikutana na tukio la kusikitisha sana. Sio mimi tu, hata watu wa mtaa ule wanawake kwa wanaume waliishia kushika vichwa na wengine kumwaga machozi kabisa.
Ilikuwa hivi..
Kuna nyumba fulani ambayo...
Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc: Dr Lizzy say...
Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti,
1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
Sitaki kusema mengi Ila tumefeli Sana kwenye malezi tofauti na wazazi wetu waliotulea Hadi tukawa watu wazima wenye manufaa kwenye jamii zetu. Watoto wengi wamekoswa misingi ya malezi bora, kudekezwa tu bila kukanywa na Ndo maana Kuna shida kubwa na badala yake tunawabebesha walimu lawama kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.