Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo.
Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya.
Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi.
Hahikuhitaji ununue game consoles za bei mbaya na mtu unaweza kucheza game kali kali maana computing power inafanyika kwenye...
Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari.
Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata sipati jibu.
Ni vema uongozi wa Yanga kwa niaba ya timu na Mashabiki wao WATUOMBE MSAMAHA SISI WAZEE...
Nataka nianze work from home.
Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo.
Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto?
Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.
Wakuu,
Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣
Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh:
Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa.
Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri lakini pia jitihada za mheshimiwa Raisi wajamuhuri ya muungani wa Tanzania
Wakuu habari zenu?
Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi wanataka kumtoa roho raisi wa timu eti anaihujumu timu?
Sasa wameamua kutoa bahasha kwa timu pinzani ili...
Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu
Smart911 huyu pia ndo wale wale
Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu
Comment zao hizi hapa
Ebu tuone
Binadamu wabishi
Inafurahisha
Inasikitisha
Pole
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele...
Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu.
Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi.
Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.