Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku.
Kutokana na uhaba wa...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.
====
UPDATES
Jeshi la Polisi Kanda...
Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu watoto/vijana wao, wanasema wamekimbilia mjini kutafuta maisha, na wengine wanazaidi ya miaka 10...
Wadau,
Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com
Asante.
====
Police General Orders (PGO) ni nini?
Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
"Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu
We ulishawahi kuona wapi Mwanachama wa Simba afanye kazi na Yanga, Sisi tunampenda Manara kwasababu ya Baba yake tu ila hatumpendi...
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.
Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako.
Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini.
Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.