Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva.
Aliyegundua...
Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa miaka 10 ijayo huu ni uongo kiukweli so i can't
Naamini mtakaozaliwa na nyie mtakula...
Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka...
Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini.
Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya
1. Kuchaguliana wachumba
2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita
3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere
4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kwamba katika Ripoti ya Haki za Binadamu 2021, imebaini ongezeko la ukatili wa vijana dhidi ya wazee kwa kuwatelekezea wajukuu, kwa madai wapo mijini kutafuta riziki.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga ameyasema hayo hivi karibuni Mkoani...
Wapendwa wana JF hbr za asubuhi...!!!!,nianze kwanza kumshukuru MUNGU mwingi wa rehema na neema aliyetuamsha salama na kutujalia kuiona siku hii ya leo tukiwa tu bukheri wa afya,kwa wale wenzetu wanao umwa tuwaombee kwa Mungu ili awape uponyaji,na kwa ndugu zetu waliotangulia mbele ya...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
---
---
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni:
Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS.
Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
Chama cha Mapinduzi CCM kimeamua kuendelea kuwatumia wastaafu baada ya vijana kiliowaamini kina Ally Hapi, Sabaya, Makonda, Polepole, Bashiru kuwaangusha kiutendaji, na wengine baadhi kukosa radhi na kuanza kuwabeza Wazee kwa matusi kina Musiba, Musukuma, “Nafurahi Wastaafu Kutukanwa”.- Lusinde...
31 Machi, 2022, Dodoma
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya wazee watatu (Agnes Msengi miaka 84, Windila Saidi miaka 80 na Winfrida Gigila miaka 80) waliouwawa kwa kuchomwa moto na wanakijiji wenzao kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekuwa wakishiriki vitendo vya kishirikina...
Jambo wakuu!
Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa.
Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
- Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu.
Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives, kiukweli leo nimekuwa mpole sana.
Pascal Mayalla
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
Viongozi wetu wengi ukiacha wale wazee waanzilishi ni hawa wa 1940-1960.
Hichi ndiyo kizazi cha wasomi, mafisadi, waheshimiwa , watunga sheria karibu wote wa Tanzania ya sasa
Swali tuwakumbukaje? Kwa mazuri au hawa ndiyo sababu ya Tanzania kuwa masikini mpaka leo
Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa...
TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO
Anaandika Robert Heriel.
Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao.
Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Na kibaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.