Nchi yetu kuna mambo ya ajabu sana pale idadi ya vikwonge kushambuliwa kwa tuhuma za kudai ni wachawi.
hii imejengeka sana tanzania kote na msemo huu ulisha kuwa na mizizi kwa watu ambao bado stage ya kufikia uzee kutumia :" Mzee mchawi, Mzee mwanga"
Je, stage ya uzee ndio stage ya hayo watu...
Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k.
Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili...
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha...
Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi.
Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha
Dominika ya Familia Takatifu.
Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu.
Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...
Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo
Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
mkandarasi wa barabara hiyo alinungunika sana baada ya lori lake tipper kupotea kupotea kimiujiza [tipper na ukubwa wake wote ule lilipotea na halikujulikana lipo wapi]
Mzee Warioba na Butiku wanaweza wakashindwa kutumia heshima waliuyopewa na Mwenyenzi Mungu kuwajaalia afya njema lakini pia na Taifa Kwa hekima na busara zao.
Wazee Hawa wamekuwa wakitumika mara kwa mara pale CCM inapolikoroga,utumika kuwa njia ya maridhiano na kwa miaka yote walioshirikishwa...
Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga.
mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm
Ujenzi huo unandelea baada ya...
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu...
Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs...
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake
Polepole amekumbushwa...
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.
Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise...
Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne.
Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na utaanza katika mji mkuu, Kigali.
Waziri wa nchi wa Rwanda anayehusika na huduma za afya ya msingi...
Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa.
Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga...
Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee.
Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha ulaghai na ukiukwaji wa haki za wastaafu. Wapo wastaafu tangu 2017 Hadi 2020 hawajapewa mapunjo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.