Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet
Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
WAZEE WETU HAWAKUWA NA PENSION, WALITEGEMEA KILIMO NA UFUGAJI; SISI ITAKUWAJE?
Anaandika, Robert Heriel.
Zamani ilisemwa; Jembe halimtumpi Mkulima, ikimaanisha kuwa Ukilima lazima uambulie chochote kitu. Iwe ni masikini au tajiri lazima upate. Hii ilitokana na Hali nzuri ya tabia ya nchi...
PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU!
Anaandika, Robert Heriel
Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo.
Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema?
Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!!
Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino.
Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi...
Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV
======
“Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu...
MANDONGA
Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022.
MANDONGA amenikumbusha stori ya mtu anaitwa Felix KANYABOYA ambaye ndiyo huyo aliyesababisha neno...
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili kuzungumzia sakata la Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara, huku akibainisha kuwa kwa kufanya hivyo...
Kwema Wakuu!
Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa.
Mambo hayo ni pamoja na;
1. Elimu ya Mkoloni
Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote...
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki.
Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
Yas kama bei ya karatasi [hizi rimu/ream sijui] imefikia sijui 20,000s, na gharamagharama sijui thelathini naa huoni kama ni yaleyale. Ya kutoa dhahabu na kupewa kioo!!
Tunapewa kakitu kadogo tusichozalisha kwa bei kubwa na ili kupata fedha za kununulia huto tuvitu tunauza chakula chetu cha...
CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania (...
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
Ukatili dhidi ya Wazee unatajwa kuwa tatizo kubwa katika Nchi zinazoendelea na zilizoendelea, japokuwa linaripotiwa kwa kiwango kidogo
Inakadiriwa kuwa, kati ya Mwaka 2019 - 2030 idadi ya Watu wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea itaongezeka kwa 38%, kutoka Bilioni 1 hadi Bilioni 1.4. Hii...
Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu, inasemwa na baadhi ya wajukuu wa watu waliopo kwenye picha hiyo...
Wajuvi naomba msaada wa Kitaalamu, Unatoka zako Job mwanao wa damu anakupigia simu uende mahali mkale vyombo, unamsisitiza wewe umepumzika anakwambia hata maji tu na msosi basi unaamua kwenda.
Umeenda kujiunga nao kupiga Vyombo ila ww ukawa hunywi, mwana na manzi yake wakawa wanaagiza sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.