Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza kupata ruzuku yuan 100 hadi 200 (sawa na dola 14 hadi 28 za kimarekani) kwa mwezi kulingana na hali...
Katika kusherehekea siku ya wazee duniani, nimefanikiwa kuwaona baadhi yao wananyuso za furaha, na wengine wana nyuso za huzuni; ikiashiria vijana wameshindwa kufanya nyuso za wazee wao kuwa na furaha.
Unakuta mzee bado anapambana kutafuta mkate wa kila siku, na wengine bado wanalea wajukuu...
Leo hii vijana wengi wana-enjoy urahisi wa maisha unaoletwa na teknolojia ya digitali kama vile kufanya manunuzi mtandaoni, malipo ya kidigitali na ufikiaji wa taarifa kwa urahisi mtandaoni. Lakini wazee wengi wasio na ujuzi wa digitali wameachwa nyuma.
Hata hivyo, kuna umuhimu wa wazee...
Habari 👋
Ikiwa ni siku ya wazee na siku muhimu ya kutambua mchango wao katika mataifa mbalimbali, ningependa kufahamu mchango wa wazee katika Taifa–Tanzania.
Maana ni rahisi kufahamu na kutambua mchango wa wazee kwa mataifa kama Malaysia, Indonesia, Qatar, Pakistan, India na mengineyo
Miaka...
Kuzaliwa, utoto, ujana, utu uzima na uzee ni hatua za kawaida katika maisha ya mwanadamu. Hatua hizi zote zina raha na shida zake. Kila hatua fulani inapopita nguvu za kimwili hupungua na vilevile utulivu wa akili huzorota.
Kwa kuwa umri unasonga, masuala mbalimbali ya kiafya hutokea. Baadhi ya...
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?
Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa Senegal wako vizuri na kama aliyemchezea uchawi yuko hapo klabuni basi akipewa namba afanye la maana...
Umoja wa wazee Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma, umewasilisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Laban Thomas wakiwatuhumu wahudumu wa Hospitali ya Wilaya hiyo kwa kuwanyima dawa, licha ya kutengewa dirisha lao katika hospitali hiyo.
Mkuu wa Mkoa Laban Thomas ametoa agizo kwa Mkuu wa...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa.
Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa...
Wazee wa kileo wamekuwa ni watu wa ovyoo, mioyo yao imejaa husda na wivu kupita kiasi hasa sisi vijana tunaopata mafanikio ya haraka, kijana anaajiriwa ndani ya muda mfupi ana nyumba na gari pamoja na vitega uchumi kibao, nyinyi ni wazee wetu tunawaheshimu sana kwa sababu nyinyi ndio babu zetu...
Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi
Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine...
Creative Monster
Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi.
Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi.
Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei walitengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.