Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu.
https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
Nilimuuliza rafiki yangu ambaye amevuka miaka 70 na sasa anakwenda kuelekea miaka 80, ni mabadiliko gani amehisi ndani yake? Alinitumia yafuatayo:
1. Baada ya kuwapenda wazazi wangu, ndugu zangu, mwenza wangu, watoto wangu, na marafiki zangu, sasa nimeanza kujipenda mimi mwenyewe.
2...
1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.
2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia.
mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu.
Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka?
Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli?
Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee.
Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo...
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano vizivyozidi viwili.
Ukiitafakari sera hiyo utagundua kuwa kiuhalisia wenye umri kama wa Tundu Lissu, sera...
Professa Safari ni mwanachama wa Chadema, aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho, ni bingwa sheria, mwanasiasa mkongwe anayezijua siasa za upinzani, lakini ametoswa kwenye kamati ya wazee ya chama hicho.
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m
Owner: Stan Kroenke
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick
Head...
Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko)
Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana.
Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*
KWAHIYO.......
1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu...
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.