Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini mkoani Manyara, Flatei Massay ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea ACT Wazalendo
Massay alihama CCM wakati wa mchakato wa uteuzi wa wabunge, ambapo jina lake halikurudi katika hatua za awali. Siku chache baadaye alichukua fomu...