Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY
Malalamiko ya mifumo ya kikodi maeneo ya mipakani kutokuwa rafiki, kumewasukuma wafanyabiashara wilayani Ngara, mkoani Kagera kuwasilisha kero hiyo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa bungeni, jijini Dodoma.
Baada ya kukutana na wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Viwanda na...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Uhamiaji Nchini kutembelea na kufanya ukaguzi kwenye vituo vya uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura ili kuwabaini Watu wasio Watanzania wanaotaka kujipenyeza kuandikishwa kwenye daftari hilo.
Waziri Mkuu amesema hayo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo.
Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika.
Bwalo hilo lilipangiwa sh...
WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA
-Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari
-Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni
-Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE...
Mhe. Hussein Bashe naomba ufafanuzi kidogo kama hautojali.
Kwenye hotuba yako ya bajeti umesema kilimo kilizalisha ajira 475,025 mwaka 2023/24.
1. Unaweza kutusaidia ufafanuzi namna hizi ajira zilivyozalishwa na njia uliyotumia kufahamu kwamba kweli idadi hii ilizalishwa?
2. Kama sekta ya...
Serikali inatarajia kuweka sheria kali dhidi ya wanaofanya ukatili wa kijinsia kwenye Jamii ili kuondoa na kupungunguza wimbi la ukatili linaloendelea kwenye Jamii.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 18,2024 wakati wa majibu ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu akijibu...
Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023.
“Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE.
Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri.
Sakata la plots 194 na 195 Rwegasore Mwanza inatufungua macho.
Nampongeza sana Waziri Mkuu Majaliwa kwa kulichunguza kwa undani swala...
Kukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa.
Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa.
Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo.
Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao.
Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi ya vijiji wilayani humo.
Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake Wilayani Newala ambapo amesema...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.