Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo.
Baadhi ya wafanyabiashara hao...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi.
Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu.
Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
Ripoti ya mwaka ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/22, ilibainisha mapungufu mbalimbali katika nyanja tofauti za uendeshaji wa Serikali. Hii ni ishara tosha kuwa, kuna haja ya kutafuta njia mbadala na makini za kutatua changamoto hizo ili...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity.
Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
Habari zenu.
Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti.
Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka.
Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele.
NB...
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina...
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
Majaliwa ameyasema leo Ijumaa Mei 6, 2022 wakati akizindua mradi wa Afya yangu unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID).
Amesema kazi ya maandalizi ya sensa ya watu na makazi inaendelea nchini ambayo inaenda sambamba na anwani za makazi.
Majaliwa amewataka...
SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA
*Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
baada
bei
bei ya mafuta
chama cha mapinduzi
gharama
gharama za maisha
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
kupunguza gharama
kushusha bei
mafuta
maisha
mbadala
serikali
wananchi
wazirimkuumajaliwa
KONGAMANO LA WAMACHINGA KITAIFA NA UZINDUZI WA MACHINGA SACCOS
Shirikisho la Wamachinga (SHIUMA) Kwa kushirikiana na Machinga Mkoa wa Dar es salaam wanakukaribisha kushiriki (kufuatilia) Uzinduzi wa Machinga SACCOS utakaofanyika katika kongamano la Kitaifa la Wamachinga.
Saccos ya Wamachinga...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro.
Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti.
Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini.
"Natoa maelekezo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.