waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  2. mangiTz

    Waziri Mkuu Italia: Ufaransa wanaihujumu Africa

    Habari wana JF, Kwa wanaojua Kifaransa kuna clip nimekutana nayo inaonesha mtoa hotuba amechukizwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, na ameishtumu Ufaransa kubwa ni nchi inayoongoza kwa kulinyonya bara na nchi za Kiafrika inasemekana ni waziri mkuu wa Italia. Video yake inatoa...
  3. Analogia Malenga

    Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu. Nakaa...
  4. Roving Journalist

    Philip Basiimire: Nape alisema walipoondoa VAT kwenye vifaa vya digitali, bei za vifaa vya digitali havikushuka bei

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anashiriki akiwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano wa 'Future Ready Summit ambao ni tukio la kila Mwaka linalowakutanisha Wadau mbalimbali wa Teknolojia na Washirika wa Kimkakati ili kutafakari suluhisho katika kuchochea maendeleo ya Teknolojia. Waziri Mkuu, ameongozana na...
  5. GENTAMYCINE

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  6. and 300

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine. **Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais (Mstaafu). 2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua...
  7. Sir John Roberts

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  8. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  9. LINGWAMBA

    Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
  10. KakaKiiza

    Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  11. Mganguzi

    Pre GE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  12. Mmawia

    Pre GE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  13. N

    Mke - Waziri Mkuu anahitajika kuisimamia serikali vema

    Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja. Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
  14. figganigga

    Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  15. R

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu wameshiriki misa ya Krismasi katika Manisa gani? Ni upi ujumbe wao kwa Watanzania?

    Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme. Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
  16. FaizaFoxy

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  17. Stephano Mgendanyi

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  18. F

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
  19. Mto Songwe

    Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore

    Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali. Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s). Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
  20. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
Back
Top Bottom