Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa kwenda kujionea athari za mafuriko hayo ili kutoa msukumo...
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
Wanaukumbi.
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia.
Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?
Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
basi
gridi ya taifa
hii
hitilafu
hitilafu ya umeme
jitihada
kukosa
maeneo
makamu
mgao
mgao wa umeme
mkuu
nchi
nchi nzima
taifa
tanesco
umeme
waziriwazirimkuu
Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu
1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’
2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KUENDELEA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UBUNIFU
Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo,kupitia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2023/24 na...
Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.
Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
PERU: Waziri Mkuu, Alberto Otárola, (57) amejiuzulu baada ya tuhuma za kuwa alijaribu kutumia Ushawishi wake kumsaidia Mwanamke kupata Mikataba ya Serikali yenye faida baada ya mazungumzo yake na Mwanamke huyo kuvuja
Kulingana na kipindi cha Panorama ambacho kilirusha Mazungumzo hayo, Mwanamke...
Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak:
1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani.
2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani
3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani.
4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN
5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaeleza wana-Musoma Vijijini kuhusu uamuzi wa Serikali kuendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo vijijini mwao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika...
Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.
Baadhi ya watu wanaamini...
Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb)
"Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa
"Waziri...
Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu.
Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo:
1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya.
2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station.
3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.