Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema “Tangu nimeteuliwa nimeelekezwa na viongozi wangu kuwa tufanye kila tunaloweza kuhakikisha mamivu ya mapungufu ya umeme tunayapunguza.
“Tunafahamu kuwa ukuaji wa uchumi ni mkubwa kwa watu wetu lakini vyanzo vyetu vya umeme...
Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72.
Dkt. Biteko...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo.
Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023.
Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume.
Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili...
Tofauti na wengi wanaoona ,uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu umekuja kufuatia mamlaka kutomuamini Waziri Mkuu lakini mtazamo huo upo tofauti na mtazamo wangu.
Kwa mtazamo wangu, mamlaka imemuamini sana Waziri mkuu na uteuzi huu una lengo la kumuamini zaidi kwa majukumu makubwa ya kimataifa.
Sote...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa.
SALAAM!
# Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd;
# Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
Keypoints:
Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana.
Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine.
Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa.
Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho
Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.