waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
  2. K

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ninakuomba sana gombea urais wa Tanzania

    Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele. Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya...
  3. S

    Kwako Waziri Mkuu: Suala la kuuza vyakula nje

    Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje. 👇 Kwa Waziri Mkuu. Farao hakuuza chakula nje kwa sababu nje kulikuwa na njaa, bali Farao aliuza chakula nje kwa sababu ndani kulikuwa na akiba ya...
  4. Nyendo

    Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

    Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM). Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
  5. Merekzedk

    Historia ya Edward Moringe Sokoine

    Naombeni kujua historia ya waziri mkuu wa zaman Edwad sokoine
  6. Roving Journalist

    NEMC na JMAT wawaelewesha Viongozi wa Dini juu ya Sauti zilizozidi. Waziri Mkuu Majaliwa atoa Maagizo 8

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
  7. Victoire

    TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

    Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011...
  8. Stephano Mgendanyi

    Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Ma DC na Ma DED Nchi Nzima

    WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wote nchini kwenye Halmashauri zao Kusimamia Kutokuwepo kwa Michango Holela inayo kera Wananchi na...
  9. JanguKamaJangu

    Japan: Waziri Mkuu amfuta kazi mwanawe kuwa msaidizi wake

    Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya. Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
  10. GENTAMYCINE

    Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
  11. S

    TCU kumbukeni Waziri Mkuu aliwaambia acheni kunyanyasa na kuonea Vyuo Vikuu Binafsi

    Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
  12. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri Kassim Majaliwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge 2023/2024

    Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  14. R

    TAKUKURU wanalipwa mishahara ya kazi gani kwa uozo na rushwa zilizoelezwa kwa Waziri Mkuu?

    Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi. Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
  15. J

    Wafanyabiashara wa Kariakoo mmetudharau sana CCM, mnalisema hadi banda alilomo Waziri Mkuu?

    Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine. Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni. Nashauri Wabunge wote Kuanzia sasa waige mfumo huu wa kuwasikiliza Wananchi Wengi zaidi. Mungu mbariki sana Waziri mkuu.
  16. Suley2019

    Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  17. Roving Journalist

    Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  18. JanguKamaJangu

    Kinachoendelea Mkutano wa Waziri Mkuu Majaliwa na Wafanyabiashara Kariakoo leo Mei 17, 2023

    Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo. Baadhi ya wafanyabiashara hao...
  19. chiembe

    Tetesi: Wanachadema wajiandaa kuvamia mkutano wa Waziri Mkuu wakijifanya na wao wafanyabiashara, lengo kuvuruga

    Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu. Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa. Maofisa wa Chadema makao makuu ambao hawajawahi kuuza hata senene au chumvi, wameandaliwa kukaa mstari...
  20. M

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa bado anatosha kumsaidia Rais Samia?

    Tumeona hivi karibuni Wabunge wakilalamika maagizo ya Waziri Mkuu hayafuatwi. Lakini ni kweli amekuwa akiongea na bila kusimamia maagizo yake. Jana Wafanyabiashara Kariakoo wameonyesha dhahiri kwamba hakuna imani nae kwasababu hawezi kusimamia anachokiagiza na hata ungesikia kauli zake sio za...
Back
Top Bottom