Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri.
Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu)
1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja?
2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi!
Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT.
Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania.
Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
Salaam Wakuu,
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia.
Ratu amefunguliwa mashitaka 17 ikiwa ni pamoja na kutukana, kushambulia, kukaba koo na kuharibu mali, matukio...
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo...
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧
Na JumaKilumbi,
05.09.2022
Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa sehemu.
Kuna mengi ya kuuliza kuhusu ‘Demokrasia’ yao ila leo tuzungumze kuhusu kupatikana kwa Waziri...
Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni
Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye.
Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari
Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
Habari,
Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu.
Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo?
Na vipi wajane wa watu kama Waziri Mkuu na Rais, huwa wana stahiki gani?
NB: Cheo cha waziri mkuu kifutwe.
26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne
Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya.
Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali.
Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.