waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    Inadaiwa Kanisa ndo limepelekea mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu Shinzo Abe

    Huko Japan, kuna jamaa anaitwa Sun Myung Moon huyu mtu ndiye mwanzilishi wa Kanisa liitwalo Unification Church, al-maarufu kama Moonies church. Huyu jamaa na kanisa lake ndiye chanzo cha mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan, Shinzo Abe. Kwa mujibu wa Tetsuya Yamagani, ambaye ndiye aliyemuaa...
  2. simplemind

    Waziri Mkuu wa Finland kwenye tamasha la muziki

    Waziri mkuu wa Finland amehudhuria tamasha la muziki Ruisrock hivi leo. Anapendeza bwana. NATO oyee!
  3. beth

    Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

    Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara. Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati...
  4. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  5. Richard

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  6. JanguKamaJangu

    Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  7. GENTAMYCINE

    Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  8. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri Mkuu Bunge la 12 Mkutano wa 7 Saba, Kikao cha 55, Juni 30, 2022

    Serikali yapiga marufuku michango shuleni Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya sera ya elimu bila malipo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni leo Juni 30, 2022...
  9. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia ameachiwa huru baada ya kugoma kula

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia, Hamadi Jebali aliachiliwa huru ikiwa ni siku ya nne tangu alipokamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha Pamoja na hatua hiyo bado Jaji amesema Jebali ataendelea kuchunguza Wakili wa mwanasiasa huyo, Samir Dilou amesema mteja wake atalazimika kufika Mahakamani...
  10. GENTAMYCINE

    Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  11. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Loliondo na Tanga, leo Juni 23, 2022

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
  12. Analogia Malenga

    70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
  13. Mrengwa wa kulia

    Israel: Waziri Mkuu avunja Serikali ya Muungano

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa. Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
  14. B

    Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  15. Mmawia

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  16. J

    MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

    TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo "Kauli ya Waziri Mkuu...
  17. K

    Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

    Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki 1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
  18. R

    Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza. Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
  19. T

    Naona kampeni ya kumchafua Waziri Mkuu Majaliwa na hachafuki ng'o kwa kuwa sio fisadi

    Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu. Kwa...
  20. J

    Waziri Mkuu huna credibility yoyote ya kukanusha taarifa yoyote na watu wakakuamini, hata hili la Ngorongoro

    Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na...
Back
Top Bottom