WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini.
Ametoa wito huo Bungeni leo (Alhamisi, Agosti 29, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai, Saasisha Mafue...