Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama
Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na...
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” -...
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?
Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10...
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
5.Zambia -...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kupitia utekelezaji wa Mradi wa uchakataji topetaka (Fecal Sludge Treatment Plant)...
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya...
Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja.
============================
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
Wakuu,
Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi.
Hapo mzazi akigoma kulipa mwanafunzi anachapwa au anaambiwa asiende shuleni, haya matamko ya kisiasa yanaharibu sana elimu...
Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa...
Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu...
Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon.
Pamoja na hivyo wizara ya ulinzi ya Marekani imesema itaongeza askari siku chache zijazo ili kuwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.
Mkutano huo unawaleta pamoja viongozi wa nchi na...
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu to make five-day jaunt to New York for UN speech
By Lazar Berman Follow
Today, 2:32 pm
Prime Minister Benjamin Netanyahu will make a five-day trip to the US later this month to deliver an address to the United...
Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini.
“Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
Maelfu ya watu wamejitokeza jijini Paris Julai 7, 2024 kufanya maandamano ya kupinga uamuzi wa Rais Emmanuel Macron kumteua Mwanasiasa, Michel Barner kuwa waziri mkuu.
Maandamano hayo yaliyopangwa na vyama vya Wafanyakazi na wanachama wa upinzani ‘New Popular Front (NPF)’ waidai matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.