waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kwisha

    Waziri Mkuu wa Canada na Rais Mexico wamekataa kuwa wanyonge mbele ya Trump

    Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu ambacho kwa mawazo ya trump anaamini kitakuza uchumi wa Marekani Na pia kitafanya company nyingi za...
  2. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi. Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa...
  3. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  4. Mtoa Taarifa

    Waziri Mkuu wa Mali afutwa kazi kwa kuihoji Serikali sababu za Kuchelewesha Uchaguzi

    Waziri Mkuu, Choguel Maiga, ameondolewa Madarakani na Utawala wa Kijeshi akidaiwa kuikosoa Serikali kwa kutofanya Uchaguzi ndani ya miaka miwili kama ilivyoahidi tangu ilipofanya mapinduzi. Maiga amedai maamuzi ya kusogeza mbele Uchaguzi yamekuwa yakifanywa kwa siri bila uwepo wake kiasi kwamba...
  5. Msanii

    Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Nawaamkua nyote Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa...
  6. Richard

    Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  7. L

    Hongera Waziri Mkuu kwa kuagiza mmiliki wa jengo akamatwe, tamaa imemponza

    Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe. Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
  8. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Polisi kumtafuta mmiliki wa Jengo lililoporomoka Kariakoo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80. Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua...
  9. figganigga

    Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  10. Mtoa Taarifa

    Waziri Mkuu: Waliofariki kwa ajali ya Jengo kuporomoka wamefikia 16, majeruhi 86

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Zoezi la uokoaji katika eneo la ajali ya kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo bado linaendelea na Mpaka sasa Watu 86 wameokolewa wakiwa hai huku Vifo vikiwa kumi na sita (16). Waziri Mkuu ameeleza hayo leo Novemba 18 wakati akizungumza katika viwanja vya...
  11. ILAN RAMON

    Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  12. Stephano Mgendanyi

    Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  13. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...
  14. Gabeji

    Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

    Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu? Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana. Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za...
  15. Allen Kilewella

    Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  16. Mtoa Taarifa

    Shigeru Ishiba achaguliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Japan kwa ushindi mwembamba

    Wabunge wamepiga Kura na Kumchagua tena Waziri Mkuu, Shigeru Ishiba kuendelea na nafasi hiyo licha ya Muungano wake kupoteza wingi wa Wabunge katika Uchaguzi wa Baraza la chini mwezi uliopita. Ishiba ameshinda kwa Kura 221 dhidi ya Kura 160 za Yoshihiko ikiwa ni marudio ya Uchaguzi ya...
  17. R

    Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

    Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa? Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza...
  18. Hismastersvoice

    Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

    Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai. Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo...
  19. U

    Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri za kijasusi

    Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel An IDF officer has been arrested as part of the...
  20. U

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia. Times of Israel: ======== November 1, 2024: PM to hold security cabinet meeting Sunday night amid Iranian threats, Lebanon ceasefire push. Prime...
Back
Top Bottom