waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  2. Mindyou

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Miezi mitano mwisho matumizi ya nishati chafu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi zinazohudumia watu zaidi ya mia moja kutumia nishati safi ili kuepukana na changamoto ya ukataji wa miti...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Waziri mkuu: Mpango wetu CCM ni kuhakikisha wagombea wetu watakapopita kwenye maeneo yetu wasipate kazi kubwa kueleza miradi ya maendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 amesema mpango wa Chama hicho ni kuhakikisha kwamba...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

    "Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia...
  6. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania lazima ijiimarishe Kiuchumi ili kuepuka utegemezi kutoka mataifa mengine duniani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi. Majaliwa ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo February 06,2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi...
  7. Allen Kilewella

    Waziri Mkuu ni lazima awe Mtanganyika?

    Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika? Kama...
  8. figganigga

    Pre GE2025 Jumaa Aweso inadaiwa ndio anayepigiwa Chapuo kuwa Waziri Mkuu 2025-2030 kama CCM itashinda

    Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake Hivyo inadaiwa...
  9. Tlaatlaah

    Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
  10. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  11. second9

    Pre GE2025 Je, Innocent Bashungwa anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
  12. tpaul

    Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  13. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  14. R

    Kama Innocent Bashungwa ni Waziri Mkuu ajaye, Majaliwa K. Majaliwa anaweza kuteuliwa Makamu Mwenyekiti Bara kufuta ndoto zake za Urais?

    Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025. Endapo Majaliwa akiwa Makamu Mwenyekiti Bara ndoto yake ya kugombea Urais itaendelea au itazimwa? Endapo...
  15. Yesu Anakuja

    KERO Bwawa la mavi Dodoma lipo katikati ya jiji karibu na ofisi za Waziri Mkuu

    Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa pamekucha. Sinywi pombe ila kwa wafanyabiashara nyingine safi, ni mji mzuri kwa biashara. Sisi wengine...
  16. byeyombo

    Hotuba ya waziri mkuu Mohammed shamte

    Hotuba ya waziri mkuu wa Zanzibar Mohammed Shamte kwenye mkutano wa united nations tarehe 16/12/1963
  17. Poppy Hatonn

    Huu mkutano wa Mnyika ni wa kuongeza mtafaruku au wa kupunguza?

    Huku mkutano hauna fununu kwamba utakuwa unahusu nini. Meanwhile tumeona mambo yanakuwa acrimonious katika kampeni. Watu wanasema tumfukuze Tundu Lissu kutoka kwenye Chama,tumuadhibu Tundu Lissu. Once the campaign is underway, Kamala Harris anaweza vipi ku mu-arrest Donald Trump? Yule ndiye...
  18. Mtoa Taarifa

    Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya. Kwenye hotuba yake ambayo ameitoa muda mchache uliopita, Trudeau alisema kuwa "nchi hii...
  19. Ojuolegbha

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati
  20. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
Back
Top Bottom