Vumilia tuuu na sio England tuengland has fallen ...
So long as ni black, it's fine.View attachment 3688173
Sagal Abdi-Wali
Vumilia tuuu na sio England tu
Na bwana Andy imekuaje?
Hatari sanaHuyu jamaa kaandika hii habari kama title za magazeti ya Shigongo...
Ukisoma kwa haraka unaweza ukadhani huyo dada Msomi ndiye PM mpya...
Sio kweli kuwa Uingereza ni wabaguzi sana, Miongoni mwa nchi za ulaya zilizofanikiwa kuondoa ubaguzi wa rangi ni EnglandSo long as ni black, it's fine.
Maana uingereza wabaguzi sana
View attachment 3688173
Sagal Abdi-Wali
Sura ya Kisomali Bila ya Shaka hii!View attachment 3688173
Sagal Abdi-Wali
Wangekuwa wabaguzi huyo nani angemjua, huyo angekuwa katika nchi kama Russia au China labda angesharejeshwa kwao alikotoka.So long as ni black, it's fine.
Maana uingereza wabaguzi sana
Abdi wali(ubweche)! Jina zuri.View attachment 3688173
Sagal Abdi-Wali
West kwa ujumla wana mifumo ya uongozi isiyo na ubaguzi. Ubaguzi unabaki mitaani miongoni mwa raia mmoja mmojaMaana uingereza wabaguzi sana