Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada awasili nchini kwa ziara ya Kikazi
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku Tatu.
Mhe. Sarai anatarajiwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na Serikali ya Canada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.