waziri wa ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  2. TBT: Cheche alizotema Hayati Magufuli Bungeni kwa watu walijenga kwenye eneo la hifadhi ya barabara

    Wakuu hee! Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja ukuta wa marehemu baba yake kwa sababu ya kuwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara.
  3. DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

    Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi...
  4. Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia. Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
  5. Kauli ya Kutaka Kulipia Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Inapaswa Kupingwa Mara Moja

    ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa jinsi serikali...
  6. Pre GE2025 Waziri Ulega kaanza makeke ya kujihakikisha nafasi 2025, sasa hivi ni kushinda site kama trekta!

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa utekelezaji wake. Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji na ujenzi wa miundombinu...
  7. Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya : Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ulipaswa kujengwa kuanza Mwaka 2016

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kuanza Mwaka 2016 ila changamoto za kimkataba zilikwamisha ujenzi kuanza.
  8. Waziri wa ujenzi : upanuzi barabara ya rangi-tatu - mkuranga kuanza rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Waziri amesema upanuzi wa barabara hiyo umekubalika ili kuondoa msongamano mkubwa unaosababisha adha kwa...
  9. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani. Aanza kazi rasmi

    WAZIRI WA UJENZI MHE. ABDALLAH ULEGA AANZA KAZI, ASISITIZA USHIRIKIANO Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani na kulakiwa na watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour na watendaji na wakuu wa taasisi na kusisitiza...
  10. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  11. Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

    Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
  12. Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  13. Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  14. M

    Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  15. M

    Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  16. M

    Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  17. Waziri wa Ujenzi, Bashungwa Atoa Ufafanuzi Daraja la Kuunganisha Dar na Pwani: Litaanza Kutumika Kufikia Kesho Jioni

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa...
  18. Waziri wa Ujenzi epuka ufunguzi wa miradi kabla haijakamilika, mnatengeneza aibu

    Imezuka tabia ambapo miradi ambayo haijakamilika na kukabidhiwa kutoka kwa mkandarasi inazinduliwa kuanza matumizi yake. Kinachotokea sasa miradi inayotumika lakini haijakamilika inaongezeka na hakuna dalili kama inaendelea kujengwa. Mfano barabara kubwa ya Kimara-Kibaha na hii ya Morocco-Mwenge.
  19. Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  20. T

    Hayati Magufuli ndiye mtu pekee toka CCM kuwahi kisifiwa na uongozi wa CHADEMA akiwa Waziri wa Ujenzi

    Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu. Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…