waziri wa ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Waziri wa Ulinzi ashiriki kikao cha Mawaziri wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama ya SADC

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kilichofanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  2. ESCORT 1

    Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

    Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
  3. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  4. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  5. Yoda

    Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

    Anaitwa Angie Motshekga, ana miaka 70, ni mwalimu kitaaluma.
  6. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  7. Yoda

    Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  8. Eli Cohen

    Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  9. Brojust

    Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  10. U

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi Israel, Yoav Gallant awajuza familia za mateka IDF imepata mafanikio makubwa

    Kumekuchaaa Aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amepingana waziwazi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Anasema kuwa hakuna uhalali wowote majeshi ya Israel kuendelea kuwepo Gaza kwani malengo makuu tayari yametimizwa kikamilifu Kwamba wanajeshi wa Israel haifai kuwepo Gaza kwani...
  11. Ritz

    Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  12. Ritz

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  13. U

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi. Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
  14. U

    Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo: Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training By Emanuel Fabian Follow and Agencies Today, 5:19 pm Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base...
  15. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  16. U

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant asema mazungumzo yeyote ya kusitisha vita Lebanon yatafanywa "chini ya mtutu wa bunduki"

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini. Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
  17. Ritz

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
  18. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena azuru kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
  19. U

    Mfahamu kwa picha Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Serikali ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu kwa picha brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Iran.
  20. Richard

    Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda. Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Back
Top Bottom